Posts

Showing posts from September, 2025

HOTUBA YA SHEREHE MIAKA 25 YA CHUO CHA MAFISA - TANZANIA TERRITORY {2000-2025}

Image
                                                       COLONEL SAMUEL MKAMI           Bwana Yesu asifiwe wana wa Mungu, Maafisa, Makadeti, na wafanyakazi,  na ndugu zetu wote katika Kristo,  Kwa furaha na shukrani kuu, tunasimama mbele ya Mungu leo hii kuadhimisha miaka 25 ya chuo chetu cha maafisa tangu chuo hiki kianzishwe mwaka 2000. Ni neema kubwa na si kwa uwezo wetu, bali ni kwa mkono wa Mungu aliyetuongoza hatua kwa hatua mpaka tumefika hapa.  Kwanza, tunamshukuru Mungu Baba yetu kwa kuwa ndiye aliyepanda mbegu ya wito wa kuanzisha chuo  hiki. Kupitia maono ya waanzilishi na uongozi wa Kanisa, ulikuwa kuwa ni lazima kanisa liwe na viongozi waliofundishwa vizuri ili kubeba maono ya mwokozi wetu na kufanya ukristo uwe na thamani kubwa mioyoni mwa watu wa Mungu. Na waanzi...

25TH ANNIVERSARY CEREMONY OF THE OFFICERS' COLLEGE -{2000 - 2025} TANZANIA TERRITORY

Image
                                                 COLONEL SAMUEL MKAMI May the Lord Jesus be praised by the children of God, Officers, Cadets, and staff, and all our brothers in Christ,  With great joy and gratitude, we stand before God today to celebrate 25 years of our officers' college since its inception in 2000. It is a great blessing and not by our own ability, but by the hand of God who guided us step by step until we have arrived here.  First, we thank God our Father for planting the seed of the call to establish this college. Through the vision of the founders and the leadership of the Church, it was imperative that the church have well-trained leaders to carry the vision of our savior and make Christianity a great value in the hearts of God's people. And our founders established this ministry  this college has becom...