HEART TO GOD HAND TO MAN

Thursday, May 10, 2018

The Salvation army - Shukrani Training College










The College Is a non profit Educational and Training Institute run by The Salvation Army.





Umemaliza Form six au form four 2017/2018?

Unasubiri kwenda  kujiunga na  chuo kikuu au chuo kingine chochote kwa masomo?

Tunajua moja kati ya vifaa unavyohitaji kumiliki kama mwanachuo ni computer laptop kwa kazi zako za kila siku kimasomo na shughuli zingine na pia unahitaji kuwa na ujuzi wa kutumia computer.

The Salvation army -  SHUKRANI TRAINING COLLEGE

Tunakuletea kozi fupi itakayokuwezesha kusoma na baada ya kozi kupata cheti, na kuondoka na laptop computer (HD 250GB , RAM 2GB; Type Dell, Lenovo na HP)
Hii ni  “SPECIAL COMPUTER COURSE”
Þ Kozi ya muda wa miezi miwili darasani; baada ya kumaliza kozi utapata cheti, laptop computer na flash disk moja.
Þ Kozi itaanza 4/6/2018
Þ Utasoma program tano za computer Introduction to Computer and Windows, Word Processing, Microsoft Excel, Graphic Designing, na Internet and Email.
Þ Kozi itaanza tarehe 4/6/2018 mpaka 20/7/2018.
Þ Wahi kwani nafasi ni chache.

Þ GHARAMA ZA KOZI:
· Fomu ya kujisajili (registration form) 20,000/
· Ada ya kozi nzima ni shilingi 365,000/=
· NAFASI ZA HOSTEL ZIPO KWA WANAFUNZI WANAOTOKA MBALI Tsh 60,000 mpaka unamaliza kozi hii. Gharama hii ya hostel haijumuishi chakula.





 Other courses Offered;
1. Certificate in Secretarial Studies.
2. Certificate in Business Operation Assistant.
3. Certificate in Computing and Information Technology.
4. Certificate in Hotel Management.
5. Computer short course (Microsoft Suit).
6. English Language short courses.


 

Tupo jiijini Mbeya eneo la Soweto
Wasiliana nasi kwa namba za simu zilizowekwa hapo juu kwa maelezo zaidi.
Fb-Page: The Salvation Army Shukrani Training College

0 comments:

Post a Comment